25 Mei 2025 - 14:01
Wanafunzi wa Hawzat al-Zahraa (s.a) Waanza Mtihani wa Robo ya Pili - 2025

Mtihani huu ni sehemu ya ratiba ya kitaasisi ya kila mwaka inayojumuisha mitihani minne ya robo. Mitihani inatarajiwa kukamilika Alhamisi ya wiki hii.

Wanafunzi wa Hawzat al-Zahraa (s.a) Waanza Mtihani wa Robo ya Pili - 2025

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Wanafunzi wa Hawzat al-Zahraa (s.a), chini ya Taasisi ya Bilal Muslim Tanga, wameanza Mtihani wa Robo ya Pili kwa mwaka 2025, siku ya Ijumaa tarehe 23/05/2025. Mtihani huu ni sehemu ya ratiba ya kitaasisi ya kila mwaka inayojumuisha mitihani minne ya robo. Mitihani inatarajiwa kukamilika Alhamisi ya wiki hii. Kitengo cha Ripoti za Hawza kinawatakia wanafunzi hao kila la heri katika mitihani yao na kuwaombea mafanikio mema kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Wanafunzi wa Hawzat al-Zahraa (s.a) Waanza Mtihani wa Robo ya Pili - 2025

Wanafunzi wa Hawzat al-Zahraa (s.a) Waanza Mtihani wa Robo ya Pili - 2025

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha